• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Mali Asili
    • Kitengo
      • Teknolojia ya Habari na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

MIKAKATI YA KIUCHUMI IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA.

UTANGULIZI:-

Idara ya Kilimo inajihusisha na shughuli zifuatazo

Kusimamia uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara

Kuboresha huduma za ugani

Kusimamia shughuli za Ushirika

1.0: UZALISHAJI WA MAZAO YA CHAKULA

a) Malengo na Utekelezaji wa Mazao ya Chakula msimu wa masika 2016/2017

Na
Zao
Malengo 
Utekelezaji
Tija (tani/ha)
Ha 
Mavuno tegemewa  (tani)
Ha
Mavuno Halisi (Tani)
1
Mahindi
10,633
43,595
9569.7
39,235.8
4.1
2
Mtama
6,362
20,358
5726
18,323.2
3.2
3
Muhogo
6,741
14,830
6066.9
13,347.2
2.2
4
Viazi (V)
3,903
14,831
3512.7
13,348.3
3.8
5
Viazi (M)
905
1,901
814.5
1,710.5
2.1
6
Ulezi
2,340
1,872
2106
1,684.8
0.8
7
Migomba
3,323
28,910
2990.7
26,019.1
8.7
8
Mpunga
104
270
94
244.4
2.6

JUMLA
34,311
126,568
30,880.5
113,913.3
 

 

b) Malengo na Utekelezaji wa Mazao ya Chakula msimu wa vuli 2016/2017

Na
Zao
Malengo 
Utekelezaji 
Tija (tani/ha)
Ha 
Mavuno tegemewa  (tani)
Ha 
Mavuno Halisi (tani)
1
Mahindi
8,115
35,706
6,898
       24,143.0
3.5
2
Mtama
4,092
15,550
3,478
       11,129.6
3.2
3
Muhogo
4,926
23,645
4,187
       20,097.6
4.8
4
Viazi (V)
2,512
12,058
2,135
         9,607.5
4.5
5
Viazi (M)
757
2,498
643
         1,929.0
3
6
Ulezi
1,627
3,742
1,383
         2,766.0
2
7
Ndizi
3,507
36,824
2,981
       28,617.6
9.6

JUMLA
25,536
130,022
21,706
    98,290.30 

 

 

 

 

 

        

 

 


                 HALI YA UPATIKANAJI WA CHAKULA

Jedwali Na. 1: Mavuno na mahitaji ya chakula
Msimu
 Idadi ya Watu
Mavuno halisi  (Tani)
Mahitaji ya chakula kwa miezi 6 (Tani)
Ziada (Tani) ya vuli
Vuli
292,008
98,290
39,968.6
58,321.40
Masika
292,008
113,913.3
39,968.6
73,944.07

 

           Uzalishaji wa kahawa kipindi cha miaka mitatu iliyopita 

                                    2014/2015-2016/2017

Zao la Kahawa ndio zao kuu la bishara wilayani ambalo hulimwa katika jumla ya vijiji 46 katika eneo la jumla ya hekta 2,989, kati ya hizo hekta 32 zimepandwa Kahawa bora iliyozalishwa kwa njia ya vikonyo

 

 

Mwaka 
Kiasi (tani)
Wastani wa bei kwa kilo
Thamani (kipato kwa mkulima)
2014 - 2015
1,914.23
1,000/=  –  1,800/=
2,679,488,000/=
2015 - 2016
2,195.21
1541/=  –  1600/=
3,447,577,300/=
2016-2017
1,456.635
1,540/=-  1600/=
2,286,916.95/=
2017/2018
799.960
1200-1300/=
Ununuzi unaendelea





 Kilimo Cha Chai

Wilaya ya Tarime ina jumla ya hekta 90.91 zimepandwa zao la chai ambapo hekta 57.5 kati ya hizo ndizo zinazovunwa  na kuzalisha jumla ya tani    402.5 kwa kipindi cha mwaka 2016/2017wilayani. Chai inayovunwa huuzwa kwa kampuni ya AMIR HAMZA ambaye ndiye mnunuzi pekee wa chai wilayani. Miche ya zao la chai 73,680 ilisambazwa kwa Wakulima katika kipindi cha robo ya nne ya mwaka 2016/2017.

 Kilimo cha alizeti

Kampuni ya Isack and Sons ndio inayojihusisha na Kilimo cha zao la Alizeti katika maeneo ya Mrito Wakulima wamekuwa na  mwitiko chanya wa kulima zao hilo kutokana na kuweka mashine kubwa ya kusindika mafuta ya alizeti. Katika msimu huu Kampuni hiyo imelima eneo la ukubwa wa hekta 80 sawa na ekari 200 za alizeti. Aidha mwekezaji huyu ana jumla ya Hekta 508.6 zinazofaa kwa Kilimo cha alizeti na kati ya hizo 80 ndizo zimelimwa. Katika kuendeleza uhamasishaji huo Halamashauri katika mpango wake wa mwaka ilitenga kiasi cha shilingi 37,812,000/= kwa ajili ya kuviwezesha vikundi viwili kutoka kata ya Susuni na Manga mashine 2 za kusindika mafuta ya alizeti.

UONGEZAJI WA THAMANI KATIKA MAZAO YANAYOZALISHWA

Katika kuongeza thamani ya mazao yanayolimwa wilayani  halmashauri kwa kushirikiana na sekta binafsi imewekeza katika viwanda vya uchakataji na usindikaji mazao kama inavyoonyesha katika jedwali lifuatalo:-

S/N
AINA YA KIWANDA
IDADI
ZAO
MAHALI KILIPO
HALI YA KIWANDA
MMILIKI
1
Uchakataji
1
kahawa
Muriba
Kinafanya kazi
BINAFSI
(CMS)
1
Bungurere
Hatua ya usimikaji
Halmashauri/AMCOS
1
Nyansincha
Hatua ya usimikaji
Halmashauri/AMCOS
2
usindikaji
1
Alizeti
Matongo
Kinafanya
kazi
ISACK &SONS CO.LTD


1
Alizeti
Susuni
Hatua ya
usimikaji
Halmashauri/kikundi
1
alizeti
Manga
Hatua ya
usimikaji
Halmashauri/kikundi

 KITENGO CHA USHIRIKA

Halmashauri ya wilaya ya Tarime inavyo vyama vya ushirika 74 vilivyoandikishwa na vimegawanyika katika michepuo ifuatayo:-

  • Vyama vya ushirika vya akiba na mikopo (SACCOS) 34.
  • Vyama vya ushirika wa mazao AMCOS 16
  • Vyama vya ushirika wa madini (Mining) 17
  • Vyama vya ushirika wa viwanda (Industrial) 3
  • Chama cha ushirika wafugaji (Livestock) 1
  • Chama cha ushirika cha wafugaji nyuki (Beekeeping) 2
  • Chama kikuu cha madini (TAMICU) 1

Hali halisi ya vyama hivyo kwa sasa:-

  • Vyama vya ushirika na mikopo (SACCOS) baadhi zake havifanyi kazi zake ipasavyo (sinzia) vyama 18 ambapo barua tayari iliishaandikwa kwa Mrajis msaidizi aviandikie barua ya kusudio kuvifuta katika daftari la serikali.
  • Vyama vya Ushirika wa Mazao (AMCOS) vichache havifanyi kazi kwa madai havina mtaji.
  • Vinavyofanya kazi ni Bungurere, Gorong’a, Mbogi, Nyantira, Itryo, Kemakorere, Muriba, Sirari, Kangariani, Mori na Kema.
  • Vinavyotarajia kuanza kazi ni Nyakonga, Mwesu na Nyamigoma. Utaratibu wa stakabadhi gharani ndio unaotumika mpaka sasa.
  • Vyama vya ushirika wa madini, viwanda, wafugaji, wafugaji wa nyuki na chama kikuu cha madini havifanyi kazi zake ipasavyo kwa madai ya kutokuwa na mtaji wa kutosha.

CHANGAMOTO

Ukosefu wa fedha za kutekeleza miradi ya idara ya kilimo kulingana na mpango kazi uliopo.

Mabadiliko ya hali ya hewa yanaathiri utekelezaji wa miradi ya kilimo.

Ukosefu wa Afisa Ushirika na hivyo kusababisha vyama vya SACCOS kutokupatiwa huduma hasa elimu ya uendeshaji wa vyama na pia kupelekea vyama hivyo kushindwa kuwasilisha makisio ya mapato na matumizi ya vyama vyao kwa Mrajisi kwa mwaka huu, 2017.

Uwepo wa magonjwa ya batobato kali na michirizi kahawia yanayoathiri uzalishaji wa zao la mihogo.

Ushindani mdogo kwa wanunuzi wa mazao ya biashara.

Matangazo ya Kawaida

  • MAELEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME December 13, 2020
  • KUITWA KWENYE USAHILI UANDIKISHAJI NA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA July 30, 2019
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO August 02, 2019
  • TANGAZO KWA UMMA November 01, 2019
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • Mafunzo ya semina kwa waheshimiwa Madiwani kuwajengea uwezo wa kusimamia uwendeshaji wa halmashauri.

    January 19, 2021
  • MAAGIZO YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ALIYOYATOA WAKATI WA ZIARA YAKE WILAYANI TARIME YATEKELEZWA KWA KISHINDO.

    May 21, 2020
  • KATIBU MKUU TAMISEMI MHE. ENG JOSEPH NYAMHANGA AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME.

    April 23, 2020
  • MHESHIMIWA MKUU WA WILAYA TARIME AMALIZA MGOGORO WA VIBANDA SOKO LA SIRARI

    March 18, 2020
  • Angalia Vyote

Video

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI KITUO CHA AFYA MURIBA.
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • strategic plan
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • Muongozo wa Mtumiaji Mfumo wa kibali cha kusafiri

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Taarifa za mshahara
  • Mfumo wa TANePS
  • Sajili mali iliyopotea

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa