Kitengo cha (TEHAMA) kimeanzishwa mwaka 2013 ambacho ni muunganiko wa Kitengocha IT na Uhusiano. Kitengo hiki kinaongozwa na Sera ya TEHAMA (2003), na Sera ya Utangazaji Habari (2004). Ibara ya 18 yakatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza kuwa 1) bila ya kuathirisheria ya nchi, na kutafuta,kupata na kueneza au kusambaza habari na mawazokupitia chombo cha habari chochote bila ya kujali mipaka ya taifa pia anayohakina uhuru wa kutoingiliwa na mawasiliano (2) kila raia ana haki ya kupashwahabari wakati wote kuhusu matukio mbalimbali ya nchini na duniani kote yenyeumuhimu kwa maisha na shughuli za wananchi , pia kwa masuala yenye umuhimu kwajamii.
Kuweka mahusiano bora baina ya Halmashauri pamoja na Umma wadau mbalimbali, kutoa elimu kwa Umma pamoja na usimamizi wa matumizi bora ya TEHAMA.
Kuandaa machapisho mbalimbali ya Halmashauri.
kuratibu masuala yakiitifaki ikiwemo kupokea wageni.
Usimamizi Wa Mifumo Ya Kompyuta(SystemAdministration)
Usimamizi Wa Mtandao Wa Kompyuta pamoja NaVifaa Vyake (Network And HardwareAdminstration).
Usimamizi Wa Benki Ya Takwimu(DatabaseAdministration)
Usimamizi wa tovuti na barua pepe (websiteadministration & emails).
Kutekeleza sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao.
Kuandaa mahitaji katika Ununuziwa vifaa vya TEHAMA.
Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa