• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Mali Asili
    • Kitengo
      • Teknolojia ya Habari na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MAAGIZO YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ALIYOYATOA WAKATI WA ZIARA YAKE WILAYANI TARIME YATEKELEZWA KWA KISHINDO.

Tuma: May 21st, 2020

WAKAZI NYAMONGO WALIPWA FIDIA YA BILIONI 33.

Hatimaye Wakazi 1,639 wa Vijiji vya Matongo na Nyabichune katika eneo la Nyamongo Wilayani Tarime Mkoa wa Mara wamelipwa fidia ya jumla ya Shilingi Bilioni 33 baada ya kusubiri kwa kipindi cha miaka 10.

Fidia hiyo imelipwa Mei 20, 2020 na Mgodi wa  Barrick North Mara  ikiwa  Utekelezaji wa Maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli aliyoyatoa wakati wa ziara yake Wilayani Tarime  ambapo alitaka suala hilo ikiwemo la uchafuzi wa mazingira yamalizwe haraka.

Akizungumza wakati wa Ufunguzi wa utoaji fidia  na Ugawaji wa Cheki kwa Wakazi hao waliopisha maeneo yao kwa ajili ya uendelezaji wa shughuli za mgodi huo, Waziri wa Madini Doto Biteko amewahakikishia wote wenye haki ya kulipwa fidia hiyo kuwa watalipwa fedha zao.

Aidha, ametoa pongeza kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na kueleza kuwa Wizara hiyo ilifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha inamaliza mgogoro wa fidia uliokuwepo baina ya wananchi na mgodi huo.


Matangazo ya Kawaida

  • MAELEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME December 13, 2020
  • KUITWA KWENYE USAHILI UANDIKISHAJI NA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA July 30, 2019
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO August 02, 2019
  • TANGAZO KWA UMMA November 01, 2019
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • Mafunzo ya semina kwa waheshimiwa Madiwani kuwajengea uwezo wa kusimamia uwendeshaji wa halmashauri.

    January 19, 2021
  • MAAGIZO YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ALIYOYATOA WAKATI WA ZIARA YAKE WILAYANI TARIME YATEKELEZWA KWA KISHINDO.

    May 21, 2020
  • KATIBU MKUU TAMISEMI MHE. ENG JOSEPH NYAMHANGA AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME.

    April 23, 2020
  • MHESHIMIWA MKUU WA WILAYA TARIME AMALIZA MGOGORO WA VIBANDA SOKO LA SIRARI

    March 18, 2020
  • Angalia Vyote

Video

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI KITUO CHA AFYA MURIBA.
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • strategic plan
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • Muongozo wa Mtumiaji Mfumo wa kibali cha kusafiri

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Taarifa za mshahara
  • Mfumo wa TANePS
  • Sajili mali iliyopotea

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa