Mradi wa uchimbaji wa lambo katika kijiji cha Bisarwi kata ya Manga ulianza na kukamilika katika mwaka wa fedha 2015/2016. Mradi uligharimu kiasi cha Tshs. 142,700,000/=.