Mradi wa ujenzi wa jengo la x-ray (Radiology) katika kituo cha afya cha Nyamwaga ulianza na kukamilika katika mwaka wa fedha 2017/2018. Mradi uligharimu kiasi cha Tshs. 69,938,370/= iliyotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri.
Lengo la Mradi ni kuboresha huduma za afya kwa wanachi wa Tarime vijijini kwa ujumla.
Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa