Mradi wa ujezi wa barabara ya magoto- nyamwaga ulianza mwaka wa fedha 2014/2015, na baadae ujenzi ulisimama kwa sababu ya uhaba wa fedha. ujenzi wa mradi huu uliendelea tena kwa mwaka wa fedha 2015/2016 na kukamilika tarehe 30/06/2016
GHARAMA YA MRADI
Mradi wa barabara ya magoto--nyamwanga umejengwa na kampuni ya M/S Gimunta championi traders kwa thamani ya Tsh 150,908,000 fedha ya halmashauri. mradi huu ulijumuisha shughuli zifuatazo
Mradi wa barabara ya magoto--nyamwanga una malengo yafutayo,
Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa