• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe

UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Tarime  ina jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya vipatavyo 48, kati ya vituo hivyo hospitali ni 1, vituo vya afya 11 (Serikali 8 na binafsi 3) Zahanati 36 kati ya hizo 25 ni za serikali na za binafsi 11.

Jedwali kuonyesha vituo vya utoaji huduma za afya katika kipindi cha miaka 5 hadi hadi kufikia   June   2021;

MWAKA

ZAHANATI

VITUO VYA AFYA

HOSPITALI

2016/2017

21

8

0

2017/2018

22

8

0

2018/2019

23

8

0

2019/2020

34

11

1

2020/2021

36

11

1

JUMLA

36

11

1

Hospitali ya Wilaya ya Tarime ina vitengo 10 navyo ni wagonjwa wa nje, wagonjwa wa ndani, idara ya uchunguzi(x-ray) na maabara, idara ya macho,idara ya uhasibu,idara ya dawa,idara ya utawala na idara ya Afya Ya uzazi na mtoto. kila kitengo kinakiongozi wake ambaye ni mjumbe kwenye timu ya uendeshaji ya hospitali.(HMT)

Hospitali ya Wilaya ya Tarime inatoa huduma katika Wilaya ya Tarime na maeneo jirani.

Huduma zinazotolewa na hospitali ya wilaya zimegawanyika katika makundi makuu mawili nayo ni :

  • Huduma ya wagonjwa wa nje .
  • Huduma ya wagonjwa wa ndani.

HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA HOSPITALI YA WILAYA

Huduma zinazotolewa na hospitali ya wilaya ni

  • Huduma ya Afya ya uzazi mama na mtoto.
  • Huduma ya magonjwa ya kuambukizwa.
  • Huduma ya magonjwa yasiyoambukizwa.
  • Huduma ya magonjwa ya macho.
  • Huduma ya magonjwa ya Akili.
  • Huduma ya upasuaji mkubwa na mdogo.
  • Huduma ya upimaji wa VVU na utoaji wa ushauri nasaha
  • Huduma za bima ya Afya (NHIF,CHF,NSSF)
  • Huduma ya uchunguzi wa kansa ya shingo ya kizazi, matiti na tezi dume.
  • Hospitali ina uwezo wa kuhudumia wagonjwa 150, kwa sasa hospitali ina vitanda 108.

Lengo

Kutoa huduma bora za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa ustawi wa jamii. Idara inafanya kazi zifuatazo:-

  • Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za utoaji wa huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe;
  • Kuandaa mipango na programu za muda mfupi na mrefu za sekta ya afya katika Halmashauri;
  • Kukuza ushiriki wa wadau mbalimbali katika shughuli za afya, ustawi wa jamii na lishe;
  • Kutayarisha na kuwasilisha taarifa za huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa mamlaka husika;
  • Kuandaa mikakati ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza;
  • Kusimamia miradi ya afya, ustawi wa jamii na lishe; na
  • Kusimamia kanzidata ya masuala ya afya, ustawi wa jamii na huduma za lishe.

Idara hii inaongozwa na Mkuu ambaye pia ni Mganga Mfawidhi wa Halmashauri (CMoH). Idara ina Sehemu tatu (3) kama ifuatavyo:-

  • Sehemu ya Huduma za Afya;
  • Sehemu ya Ustawi wa Jamii; na
  • Sehemu ya Huduma za Lishe.

Sehemu ya Huduma za Afya

Sehemu hii inafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria, na Taratibu za huduma za afya;
  • Kushauri kuhusu uratibu na kujenga uwezo wa huduma za afya;
  • Kuandaa mipango na programu za muda mfupi na mrefu za huduma za afya;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau kuhusu masuala ya huduma za afya; na
  • Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya magonjwa ya mlipuko, kuzuia magonjwa yasiyoambukiza, ya kuambukiza na ibuka katika vituo vyote, jamii na sehemu za kuingilia.

Sehemu ya Ustawi wa Jamii

Sehemu hii inafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za uboreshaji wa ustawi wa jamii;
  • Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na mrefu ya Ustawi wa Jamii;
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya ustawi wa jamii;
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu Ustawi wa Jamii; na
  • Kutayarisha taarifa zinazohusiana na ustawi wa jamii.

Sehemu ya Huduma za Lishe

Sehemu inafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za uboreshaji lishe;
  • Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na mrefu ya lishe;
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya lishe;
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu lishe;
  • Kutayarisha taarifa zinazohusiana na lishe ya jamii;
  • Kuhamasisha jamii kuhusu masuala ya lishe;
  • Kufuatilia na kutathmini utoaji wa huduma za lishe katika Halmashauri;
  • Kukusanya na kuchambua taarifa za huduma za lishe; na
  • Kutoa huduma za lishe kwa watoto, watu wazima na watu wenye mahitaji maalum.

MIRADI YA AFYA  ILIYOPANGWA KUTEKELEZWA:

ORODHA YA MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA UTENDAJI KAZI (ESS) MKOANI MARA

    June 11, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA, SHULE YA SEKONDARI MAGOTO

    June 02, 2025
  • MAADHIMISHO YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA WATOTO

    June 01, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa