• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Muriba

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA KWANZA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
NA IDARA KATA KIJIJI SHUGHULI CHANZO CHA FEDHA BAJETI 2023/2024  FEDHA TOLEWA  FEDHA TUMIKA FEDHA BAKI HALI YA UTEKELEZAJI
1 AFYA MURIBA KOBORI Kukamilisha ujenzi wa nyumba ya mganga zahanati ya Kobori ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 20,000,000 0 0 0 Fedha za utekelezaji hazijapokelewa
2 ELIMU (M) MURIBA BUNGURERE Ujenzi wa chumba 1 cha darasa shule ya msingi Bungurere ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 20,000,000 20,000,000 0 0 Hatua ya manunuzi
3 ELIMU (S) MURIBA BUNGURERE Kukamilisha ujenzi wa jengo la utawala katika shule ya sekondari  Bungurere  ifikapo Juni 2024  Mapato ya Ndani 20,000,000 20,000,000 0 0 Utekelezaji haujaanza
4 ELIMU (S) MURIBA MURIBA Ujenzi wa matundu 10 ya vyoo vya wanafunzi shule ya sekondari Muriba ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 10,000,000 10,000,000 0 0 Utekelezaji haujaanza
5 AFYA MURIBA BUNGURERE  Kukamilisha ujenzi wa jengo la OPD zahanati ya Bungurere ifikapo Juni 2024  Serikali Kuu 25,000,000 0 0 0 Maombi ya fedha yamewasilishwa HAZINA
6 ELIMU (S) MURIBA BUNGURERE  Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa kwa ajili ya kidato cha tano na sita shule ya sekondari Bungurere ifikapo Juni 2024  Serikali Kuu 50,000,000 0 0 0 Maombi ya fedha yamewasilishwa HAZINA
7 ELIMU (M) MURIBA MURIBA  Kuchangia ujenzi wa choo shule ya msingi Kambarage  Mfuko wa Jimbo 5,000,000 0 0 0 Fedha za utekelezaji hazijapokelea
8 AFYA MURIBA BUNGURERE Kujenga kichomea taka aina ya De-montfort Incinerator Mark I na shimo la kondo la nyuma pamoja na sehemu maalumu ya kunawia mikono na kukakarabati chumba cha kujifungulia zahanati ya Bungurere ifikapo Juni 2024 SRWSS 20,500,000 0 0 0 Fedha z utekelezaji hazijapokelewa
JUMLA 170,500,000 50,000,000 0 0











TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UWAJIBIKAJI KWA JAMII (CSR) 2020/2021 KWA MGAO WA ASILIMIA 30% YA FEDHA ZILIZOTOLEWA KATIKA KATA 21 ZENYE VIJIJI 77 ROBO YA KWANZA MWAKA  2023/2024
NA IDARA KATA KITUO/KIJIJI MRADI/SHUGHULI CHANZO CHA FEDHA  BAJETI TENGWA    FEDHA TOLEWA   FEDHA TUMIKA   FEDHA BAKI   HALI YA UTEKELEZAJI 
1 ELIMU MSINGI MURIBA TAGARE Ukamilishaji wa vyumba 3 vya madarasa shule ya msingi Muriba CSR     37,500,000         35,960,000         35,960,000        1,540,000  Ujenzi umekamilika 
2 ELIMU MSINGI MURIBA KOBORI Ujenzi wa choo matundu 8 shule ya msingi Kobori CSR     10,000,000           9,271,000           9,271,000           729,000  Kazi ya kupaua imekamilika 
3 ELIMU MSINGI MURIBA BUNGURERE Ujenzi wa vyoo vya wanafunzi matundu 8 shule ya msingi  Bungurere CSR     10,000,000           8,927,500           8,927,500        1,072,500  Ujenzi wa boma umekamilika 
JUMLA     57,500,000         54,158,500         54,158,500        3,341,500











TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BAKAAA YA MWAKA 2022/2023 KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA 2023/2024
NA IDARA KATA KIJIJI SHUGHULI CHANZO CHA FEDHA BAKAA 2022/2023 FEDHA TOLEWA FEDHA TUMIKA FEDHA BAKI HALI YA UTEKELEZAJI
1 AFYA MURIBA MURIBA Ujenzi wa fensi kituo cha afya MURIBA.  Mapato ya Ndani      19,000,000
                      -        19,000,000 Ujenzi wa fensi umekamilika katika sehemu zilizopangwa, bado kazi ya ukamilishaji sehemu ya geti na nyuma ya kituo
2 ELIMU MSINGI MURIBA BUNGURERE Kukamilisha ujenzi wa matundu 10 ya vyoo shule ya msingi Bungurere.  Mapato ya Ndani      10,000,000
                      -        10,000,000 Ujenzi wa boma umekamilika
3 AFYA MURIBA MURIBA Ukarabati wa wodi kituo cha afya Muriba Serkali Kuu     42,036,260
                      -        42,036,260 Utekelezaji haujaanza
4 ELIMU MSINGI MURIBA  BUNGURERE  Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na matundu ya vyoo shule ya msingi Bungurere   EP4R      88,600,000
        48,000,000      40,600,000 Kazi ya upigaji wa plasta ya vyumba vya madarasa imekamilika. Ujenzi wa matundu ya vyoo unaendelea
5 AFYA MURIBA KOBORI Kuboresha mindombinu ya zahanati ya Kobori kwa kuzingatia mwongozo wa mradi wa WASH . SRWSSP     24,459,000
                      -        24,459,000  Shimo la kuhifadhi maji limechimbwa na choo cha matundu 2 kimejengwa kipo hatua ya boma 
JUMLA   184,095,260                       -           48,000,000    136,095,260
JUMLA KUU   412,095,260       104,158,500       102,158,500    139,436,760

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA UTENDAJI KAZI (ESS) MKOANI MARA

    June 11, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA, SHULE YA SEKONDARI MAGOTO

    June 02, 2025
  • MAADHIMISHO YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA WATOTO

    June 01, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa