• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

AGIZO LA WAZIRI MKUU LATEKELEZWA TARIME

Tuma: February 26th, 2018

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mhe. Moses Misiwa amepongeza jitihada zilizofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga katika ujenzi wa Kituo cha Afya Nyamwaga na kupatikana kwa vifaa tiba vya kituo hicho.

Kauli hiyo aliitoa mbele ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula (Mb) aliposhiriki kwenye tukio la kuanza kwa utoaji huduma wa kituo hicho ambacho Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa agizo la kufunguliwa ifikapo Februari 24 alipokuwa katika ziara Mkoani Mara hivi karibuni.

Alisema, Mkuu wa Wilaya amefanya kazi kubwa mpaka kufikia hatua ya kukamilika kwa Kituo hicho ambacho kwa sasa kipo kwenye mchakato wa kuwa Hospitali ya Wilaya lakini wapo baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wanabeza juhudi za kiongozi huyo jambo ambalo hurudisha nyuma jitihada za viongozi katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Aidha , Mwenyekiti alisema kituo kina vifaa tiba vya kisasa ambavyo huwa vinapatikana kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na ni jitihada  za Mkuu wa Wilaya, aliongeza kuwa licha ya kwamba  yeye ni mpinzani lakini kwenye maendeleo lazima apongeze.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime alisema wametumia kiasi cha fedha za kitanzania shilingi milioni 300 kununua vifaa mbalimbali vitakavyotumika kwenye Hospitali hiyo na kwamba wananchi wa Nyamwaga na maeneo mengine ya jirani wataondokana na adha ya kwenda mbali kupata huduma.

Akizungumza kwenye hafla hiyo, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula alisema anamshukuru Mkuu wa Wilaya kumualika kutembelea kituo hicho na kujionea mambo mazuri ambayo yamefanyika katika kituo hicho wakati akiwa katika ziara ya kikazi Wilayani hapa.

Alisema kutokana na taarifa ya ujenzi wa kituo hicho ameushukuru uongozi wa Mgodi wa Accacia North Mara kwa ujenzi wa kituo hicho cha kisasa na kuahidi  kufikisha taarifa kwa Waziri wa Afya kumuomba kukipa hadhi ya hospitali ya wilaya kwa kuwa kuna kila kitu kinachohitajika.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA, SHULE YA SEKONDARI MAGOTO

    June 02, 2025
  • MAADHIMISHO YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA WATOTO

    June 01, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa