• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

BARAZA LAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 43

Tuma: March 12th, 2018

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Tarime limepitisha makadirio ya mpango na bajeti kwa mwaka 2018/2019 kiasi cha shilingi 43,270,776,621.25 ikiwa ni ongezeko la asilimia 18.8 ikilinganishwa na shilingi 36,431,083,427 zilizokisiwa kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2017/2018.

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Tarime Apoo Tindwa alisema kuwa kati ya fedha hizo Tshs. 922,399,999.8 ambazo ni fedha za ruzuku kutoka serikali kuu zitatumika kutekeleza miradi ya maendeleo, tshs 526,789,083 ni fedha za ruzuku zitakazotumika kwa matumizi ya kawaida, tshs. 2,440,000,000 ni fedha zitakazotumika kutekeleza miradi ya maendeleo kutokana na mapato ya ndani (co-funding), Tshs 31,801,968,000 zitatumika kulipa mishahara, Tshs 2,817,067,975 ni matumizi ya kawaida ya makusanyo ya ndani ya Halmashauri na shilingi 4,762,551,563.27 ni mapato yanayotokana na vyanzo vingine kama vile Mfuko wa pamoja wa Afya, Mfuko wa Jimbo,Mradi wa Maji, usafi na mazingira, mpango wa kuboresha elimu ya sekondari na Mradi wa kuboresha elimu ya Msingi.

Maeneo yaliyopewa kipaumbele katika mpango huu ni kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri, kuboresha miundombinu ya Elimu msingi na Sekondari ,Ujenzi wa nyumba za walimu,kuongeza kiwango cha upatikanaji wa dawa kutoka 87% hadi 95% kufikia juni 2019 na kuongeza miundombinu kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya.

"Kuongeza miundombinu ya maji,barabara mpya ili kurahisisha usafirishaji wa mazao kutoka shambani ,kuinua sekta ya kiuchumi,kutatua migogoro ya ardhi na kulipa madeni watumishi wa kada mbalimbali" alisema Tindwa.

 

Diwani wa kata ya Ganyange Nashoni Marwa aliitaka Serikali kutoa fedha kwa wakati kwani inapochelewesha fedha miradi ya maendeleo haitekelezwi kwa wakati.

 

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa