• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME YAPATA HATI SAFI.

Tuma: August 2nd, 2017

Halmasahuri ya Wilaya ya Tarime imetunukiwa hati safi baada ya kufanyiwa ukaguzi na mdhibiti wa hesabu za Serikali (CAG) kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2015/2016.

Kwa niaba ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw.Pastory        Massawe ambaye ni Mkaguzi wa nje wa hesabu za Serikali Mkoa wa Mara alisema kwamba Halmashauri ya wilaya ya Tarime imepata hati hiyo baada ya kukidhi vigezo vya ukaguzi katika maeneo ya Miradi ya Maendeleo ikiwemo, Mfuko wa pamoja (Basket Fund), TASAF, Mfuko wa barabara (Road Fund), miradi ya Maji pamoja na matumizi ya uendeshaji. 

Massawe alisema hayo mbele ya baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya wakati wa kuwasilisha taarifa ya mkaguzi wa hesabu za Serikali.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Bw. Apoo Tindwa  alisema amepata ushirikiano mkubwa kutoka baraza la Madiwani kwa kufanya kazi kwa pamoja na weledi mkubwa hadi kufikia hatua hiyo ya kupata hati safi, na kuwaomba washirikiane zaidi katika kubaini vyanzo vipya vya mapato katika maeneo yao ili kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri.

Kwa upande wake Katibu Tawala Wilaya Bw. John Marwa aliwahakikishia Madiwani kuendelea kusimamia amani Wilayani kwani kwenye amani ndipo kunapopatikana maendeleo.

“Tutahakikisha kuwa amani inaimarika ili Wananchi wetu waendelee kuishi kwa amani na hatutaruhusu mtu yeyote avuruge amani iliyopo kwa kuwa ataharibu mipango ya maendeleo yetu kwa wananchi” alisema Marwa

Akifunga kikao Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Tarime Mhe. Moses Misiwa alisema wapo baadhi ya madiwani ambao wanatumia maneno ya kichochezi ambayo huhatarisha usalama wa Wananchi wao na kuharibu taswira ya Wilaya jambo ambalo amesema hatalikubali.

….MWISHO….

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa