• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME APOKEA WAGENI KUTOKA SHIRIKA LA JICA

Tuma: January 21st, 2026

Leo tarehe 21/01/2026, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Ndg. Peragia J. Balozi, amepokea wageni kutoka Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japani (JAICA) pamoja akiwemo Dr. Hiroshi Imae, Dr. Masahisa Nakamura, Dr. Motahiro Hasegawa, Dr. Hideki Sonoyama pamoja na Ndg. Nyarubana K. Mgendi ambaye ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Kilimo (Tume ya Umwagiliaji).


Shirika la JICA linakusudia kuanzia Mradi unaohusu ekolojia ya Ziwa Victoria pamoja na bonge la Mto Mara kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo (Tume ya Umwagiliaji)  chini ya Ufadhili wa Serikali ya Japan.


Wageni hao wamekuja Halmashauri ya Wilaya ya Tarime kwa lengo la kufanya utafiti wa awali wa ekolojia inayozunguka Bonge la Mto Mara pamoja na hali ya maisha ya wananchi wanaoishi maeneo karibu na mto huo.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME APOKEA WAGENI KUTOKA SHIRIKA LA JICA

    January 21, 2026
  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME WAPATIWA MAFUNZO ELEKEZI

    January 14, 2026
  • MKUU WA MKOA WA MARA KANALI EVANS MTAMBI AWAPOKEA WAJUMBE WA TUME HURU YA UCHAGUZI WA VURUGU ZILIZOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI OKTOBA 2025

    January 08, 2026
  • TUME YA UCHUNGUZI MATUKIO YA UCHAGUZI KUTUA TARIME 09 JANUARY 2026

    January 05, 2026
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa