• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI NANE YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI NNE ZAIDI NA KUTOA MAELEKEZO.

Tuma: October 26th, 2022

Kamati ya fedha, uongozi na mipango robo ya kwanza 2022/2023 yatembelea miradi 8 inayotekelezwa ndani ya halmashauri ya wilaya ya Tarime kuanzia tarehe 24/10/2022 hadi tarehe 25/10/2022.

Ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mheshimiwa SIMION KILES SAMWEL, Kamati imetembelea jumla ya miradi 8, ambapo miradi 3 inaendelea na ujenzi na miradi 5 ipo katika hatua ya ukamilishaji, hadi kukamilika kwa miradi yote nane itagharimu jumla ya shilingi  4,381,000,000.00.

Miradi iliyotembelewa ni:

  1. Ujenzi wa Jengo la Utawala Nyamwaga
  2. Ujenzi wa Nyumba ya kuishi Mkurugenzi Mtendaji ipo Nyamwaga
  3. Ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU) na ujenzi wa jengo moja lenye nyumba tatu za kuishi watumishi wa Afya Hospitali ya Nyamwaga.
  4. Ujenzi wa jengo la nyumba mbili za kuishi watumishi katika shule ya sekondari Matongo.
  5. Ukamilishaji wa zahanati katika kijiji cha Kangaliani.
  6. Ujenzi wa shule ya Sekondari mpya Kata ya Sirari.
  7. Ukamilishaji wa zahanati katika kijiji cha Turugeti.
  8. Ujenzi wa Kituo cha Afya Mtana     

Kwa kila mradi Kamati ilifika kwenye eneo la mradi na kujionea uhalisia na kutoa mapendekezo, ushauri na maoni ya kamati kwa lengo la kuhimiza wajenzi na wasimamizi  kutekeleza mradi kwa muda uliopangwa.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA AJIRA NAFASI YA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA September 17, 2023
  • YAHUSU KUHAMA KWA OFISI ZOTE ZA HALMASHAURI KUANZIA TAREHE 18 SEPTEMBA 2023 September 17, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 05, 2023
  • MATOKEO YA USAILI June 10, 2023
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • SALAMU ZA MKURUGENZI

    September 28, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME KUHAMIA JENGO JIPYA NYAMWAGA 18/09/2023

    September 17, 2023
  • NAIBU WAZIRI TAMISEMI MHE. Dkt. FESTO JOHN DUGANGE (MB) AMEIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA TARIME KWA UJENZI WA SHULE MPYA YA BUKIRA.

    January 16, 2023
  • NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI Mhe. SILINDE APONGEZA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA TARIME DC, ATAKA MAENEO MENGINE KUIGA MFANO.

    November 27, 2022
  • Angalia Vyote

Video

ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA MARA 2023
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • strategic plan
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • Muongozo wa Mtumiaji Mfumo wa kibali cha kusafiri

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Taarifa za mshahara
  • Mfumo wa TANePS
  • Sajili mali iliyopotea

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa