• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

KIKAO CHA PAMOJA TUWALISHE KUFANYIKA OFISI YA MKUU WA WILAYA, TARIME

Tuma: June 26th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Tarime akiwa na Katibu Tawala, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime pamoja na Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi, Mratibu wa Lishe mashuleni, Afisa Maendeleo ya Jamii, Maafisa Ustawi wa Jamii, Afisa Kilimo, Afisa Tehama wa Halmashauri na Maafisa Tarafa wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wafanya Kikao cha PAMOJA TUWALISHE katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya asubuhi ya tarehe 26/06/2024. Lengo kuu ni kujadili mradi wa PAMOJA TUWALISHE lililoanzishwa kwa lengo kuu la kuimarisha lishe mashuleni kwa kuzingatia ugawaji wa chakula katika shule za msingi za Halmashauri ya Wilaya ya Tarime.


PAMOJA TUWALISHE ni mpango wa Chakula na Lishe unaoongozwa na wazazi na jamii husika. Tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2023, PAMOJA TUWALISHE kwa msaada wa mfumo wao uitwayo DILS, imenufaisha shule 15 kutoka Tarafa 2 na kata 4 ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime. 


Mradi wa PAMOJA TUWALISHE kwa ushirikiano wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Tarime na Viongozi wake, imefanikiwa Kuongeza Mahudhurio mashuleni, Kuongeza upatikanaji wa Chakula bora mashuleni na Kushawishi ushiriki wa Jamii katika kufanikisha mradi hasa katika kuchangia tani 9 ya chakula katika shule 15 zinazofaidi huduma ya Mradi huu. 


Mratibu wa Lishe mashuleni ametoa shukrani ya pekee kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime kwa ushirikiano wake katika kufanikisha utekelezaji wa mradi huo wa PAMOJA TUWALISHE kwa kutoa Maboma 15 ndani ya Miezi 4. 

 

Baada ya kikao, Mkuu wa Wilaya ya Tarime ametoa shukrani na pongezi kubwa kwa wote waliochangia katika kufanikisha utekelezaji wa mradi huo wa PAMOJA TUWALISHE na kamuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime na viongozi wake kuiga mfano kutoka kwa mradi huo kwa shule zingine ndani ya Halmashauri zilizokosa nafasi ya kunufaika na mradi huo ili kuboresha Afya ya Wanafunzi mashuleni.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa