• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MAKUBALIANO YA UJENZI WA KIWANDA CHA SUKARI WILAYANI TARIME YASAINIWA

Tuma: April 10th, 2017

 

Halmashauri ya Wilaya Tarime imesaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Nile Agro Industries Limited ya Nchini Uganda.

Hafla ya kusaini makubaliano hayo imefanyika katika ukumbi wa uwekezaji katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara na kushuhudiwa na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na Wilaya, akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa, Katibu Tawala  wa Mkoa Mara Bw. Adoh S. Mapunda, Mkuu wa Wilaya Tarime Bw. Glorious Luoga na Katibu Tawala Wilaya Bw. John Marwa, viongozi mbalimbali wa Kata na Vijiji wanaotegemea kunufaika na uwekezaji huo, wafanyabiashara na Wakandarasi wa Wilaya ya Tarime.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime amesema ujenzi wa kiwanda hicho utatoa ajira (direct employment 5000 na indirect employment kwa watu 1000, vilevile kusaidia Wakulima kuanzisha kilimo cha miwa kama zao lao la biashara.

Ameongeza kwamba uwekezaji huo utaiwezesha Halmashauri ya Wilaya ya Tarime kuongeza mapato yake ya ndani kupitia ushuru wa huduma.

 “Hadi sasa kuna eneo lenye ukubwa wa hekta 4439 limeandaliwa kwa ajili ya Muekezaji na hekta zingine 1,297 zimeandaliwa kwa ajili ya Wakulima wadogowadogo kulima Miwa”amesema Mkuu wa Wilaya.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Tarime kwa juhudi ambazo amefanya hadi kufikia hatua ya kuanzisha kilimo cha Miwa na Ujenzi wa kiwanda cha sukari. Dkt, Mlingwa ameahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wawekezaji.

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Moses Misiwa baada ya kusaini mkataba huo amesema ujio wa Mwekezaji ni neema kubwa kwa wana Tarime na kusema kuwa Halmashauri imejipanga vizuri kuhakikisha uwekezaji huo unakuwa na mafanikio makubwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Nile Agro Industries Limited Bw. Patel Gajendra amemalizia kwa kusema wako tayari kuanza Ujenzi huo mapema iwezekanavyo.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa