• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

Tuma: February 24th, 2025

Leo, tarehe 24/02/2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Kanali Evance Alfred Mtambi akiambatana na kamati ya Usalama ya Mkoa wa Mara, Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Flowin Gowele na ofisi yake, Waheshimiwa Madiwani, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime ndg. Solomon Shati pamoja na Wataalamu mbalimbali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, amefanya Mkutano na wananchi wa Kata ya Mwema na Regicheri katika eneo lenye Mgogoro iliyopo Koritambe, Kata ya Mwema


Mhe. Kanali Evance Alfred Mtambi amesema kuwa amesikitishwa na mgogoro huo kwakuwa umesababisha ugomvi mkubwa kati wa wananchi wa kata ya Mwema na Kata ya Regicheri Wilaya ya Tarime kwa muda mrefu sana.


Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhe. Meja. Edward Flowin Gowele katika mkutano huo amesema kuwa ardhi hiyo imekuwa na migogoro miaka mingi sana na aliagiza wananchi wa Kata ya Mwema na Regicheri kutotumia eneo hilo mpaka watakapopata maelekezo lakini amesikitishwa kuona kuwa baaadhi ya wananchi wamekiuka maagizo hayo, kitu kilichosababisha hali ya mgogoro huo kuwa mbaya zaidi.


Mkuu wa Mkoa wa Mara amesema kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka watanzania wote kuwa na "Maisha Bora" na sio "Bora Maisha" hivyo hata wanyang'anya hiyo Ardhi kwa sharti ya kwamba wataitumia kwa Amani, hivyo hatua kali zitachukuliwa juu ya mwananchi yeyote atakayesababisha uvunjifu wa amani hiyo. 


Baada ya majadiliano kati ya Mkuu wa Mkoa wa Mara na Wananchi wa Kata ya Regicheri na Mwema, Mkuu wa Mkoa ameagiza timu ya kamishna ya Ardhi kutambua mipaka ya kiserikali baina ya kata hizo, vilivile ameagiza ofisi ya Mkuu wa Wilaya kubaini mipaka ya Ingram ili kuweza kufanya maamuzi juu ya eneo hilo na wamiliki wa mashamba ndani ya eneo hilo kutambulika pamoja na maeneo yao.


Mkuu wa Mkoa wa Mara amemaliza kwa kusisitiza wananchi kuacha uharibifu wa mazao na mali ili kuhakikisha uwepo wa Amani kati ya wananchi wa kata ya Mwema na kata ya Regicheri

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa