• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MKURUGENZI MTENDAJI ATETA NA WATUMISHI WAKE.

Tuma: July 17th, 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Bw. Apoo Castro Tindwa amewaagiza Watumishi kufanya kazi kwa kuzingatia Miongozo ya sheria, kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma.

Akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma katika kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri aliwasihi watumishi kufanya kazi kwa kufuata sheria na taratibu za kazi zao ikiwa ni pamoja na kuwa na nidhamu katika kuhudumia Wateja, kufika kazini kwa wakati uliopangwa kisheria na kutekeleza majukumu yao yote kwa uadilifu.

Aliongeza kwamba Watumishi wote wanapaswa kuvaa vitambulisho vya kazi muda wote wanapokuwa kazini na kuzingatia mavazi ya heshima yanayoendana na muongozo wa mavazi  ya watumishi uliopo.  Aidha aliwasisitiza Wakuu wa idara kuhakikisha vikao vya idara vya kila mwezi vinafanyika na mihtasari ya vikao kuwasilishwa kwake kila mwezi.

 Hata hivyo amewasihi watumishi kuwa wavumilivu wakati serikali ikishughulikia suala la upandishaji vyeo na ulipaji wa madeni yao na wakati ukifika wote watalipwa hivyo kwasasa wafanye kazi kwa bidii kwa lengo la kuboresha huduma kwa Wananchi wa Tarime.

Afisa Utumishi wa Wilaya Bw. Kelvin Mkirya aliwakumbusha Watendaji wa Kata na Vijiji kufanya vikao vya kisheria kwa wakati na kuhamasisha Wananchi kuchangia katika shughuli za maendeleo.

Akichangia hoja Afisa Mtendaji wa Kijiji Bi. Magreth Paulo alisisitiza suala la nidhamu katika mavazi na kushauri kuwepo na sare katika mavazi kwa Watumishi wote wa Halmashauri ya  Wilaya ya Tarime.

Wiki ya Utumishi wa Umma huadhimishwa kila mwaka kuanzia Juni 16 hadi Juni 23.

Imetolewa na:

Kitengo cha Habari na Uhusiano

Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

17 Julai 2017.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa