• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MKUU WA MKOA MARA APIGA MARUFUKU UUZWAJI WA NAFAKA NJE YA NCHI

Tuma: July 14th, 2017

Na. Shomari Binda, Mtanzania Tarime.

Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa, amepiga marufuku usafirishaji wa Nafaka hususani Mahindi nje ya Nchi kupitia mpaka wa Sirari kwa lengo la kukabiliana na tatizo la uhaba wa Chakula ambalo limekuwa likijitokeza.

Alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na Watumishi wa idara mbalimbali wanaofanya kazi katika  Kituo cha Forodha Mpaka wa Sirari.

Mkuu wa Mkoa aliwataka kufanya kazi kwa ushirikiano kuhakikisha maagizo hayo yanafanyiwa kazi kwa kudhibiti chakula kwenda nje ya Nchi. Alisema Serikali imekwisha kutoa maagizo juu ya suala hilo na yeye amesisitiza, kwasababu Mpaka huo umekuwa ukitumika kupitisha Mahindi na Nafaka nyingine kwenda nje.

Dkt. Mlingwa alisisitiza haiwezi kukubalika Watanzania wakalima chakula na kisha kukipeleka nje ya Nchi na baadaye kuanza kulalamika uhaba wa chakula, kwamba jambo hilo linapaswa kudhibitiwa hususani kwenye maeneo ya Mipakani.

Aliongeza kwamba wapo Wafanyabiashara ambao wakati maagizo ya Serikali yanapotolewa hushindwa kuyatii, na kuwatahadharisha wasijaribu kufanya hivyo Mkoani Mara kwa kuwa mali zao zitataifishwa pale watakapojaribu kupitisha Nafaka katika Mpaka wa Sirari.

Aliwaagiza Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime kuweka kituo cha ukaguzi katika eneo la Komaswa kabla ya kufika kwenye mpaka wa Sirari.

Meneja wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Bw. E. Nkangaza alisema hadi sasa wametaifisha gari moja, Pikipiki 24 na baiskeli 12 ambazo zilikuwa zikisafirisha Mahindi kwenda nje ya Nchi kupitia mpaka wa Sirari.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa