• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

NAIBU WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TECKNOLOJIA AFANYA ZIARA KATIKA CHUO CHA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA), NYAMONGO

Tuma: September 27th, 2024

Tarehe 26/09/2024, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga akiwa na Viongozi wengine wa Tarime akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Flowin Gowele, Katibu Tawala wa Tarime, Diwani wa Viti Maalumu, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime na Kaimu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, amefanya Ziara katika Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) iliyopo Nyamongo, Kata ya Matongo, Kijiji cha Nyabichune, Kitongoji cha Komawale. 


Baada ya ukaguzi wa kina, Mhe. Omari Kipanga ametoa pongezi kubwa kwa wote wanaohusika katika ujenzi wa Chuo hicho akisema kwamba mpaka ujenzi ulipofikia umefwata na kuendana na michoro ya Serikali kitu ambacho ametoa pongezi kubwa. Vile vile, ametoa maagizo wa ujenzi kuendelea na hatua zingine. 

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Flowin Gowele kwa niaba ya Ofisi ya na Viongozi wengine waliokuwepo, ametoa Shukrani kubwa kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuagiza na kuwezesha ujenzi wa Chuo hicho cha Ufundi ndani ya Wilaya ya Tarime. Pia amemshukuru Naibu Waziri wa Elimu kwa Kufika Wilaya ya Tarime na ameahidi kupokea na kuyafanyia kazi maagizo yote aliyotoa ili kukamilisha ujenzi wa Chuo hicho kwa manufaa ya Wakazi wa Tarime na Wananchi wote wa Tanzania kwa ujumla.


Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Tarime ni miongozi mwa vyuo 64 vinavyojengwa kwa kupitia agizo la Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha kila Wilaya ya Tanzania Bara inajengwa chuo cha ufundi stadi cha Wilaya. Mpaka sasa Serikali imetoa kiasi cha Tsh. 341,482,961/= kwa ajili ya Ujenzi wa Chuo hicho.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa