• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Serikali yawataka Wananchi kufyeka Miti isiyo Rafiki

Tuma: February 21st, 2018

Serikali yawataka Wananchi kufyeka Miti isiyo Rafiki

Wananchi wilayani Tarime mkoani Mara wametakiwa kufyeka miti isiyo rafiki ikiwemo Mikaratusi na Seregena kwakuwa inaharibu vyanzo vya maji na hivyo kusababisha kuwepo kwa uhaba wa maji katika Mito,Visima,Marambo na Majosho.

Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorius Luoga wakati wa zoezi la ufekaji miti isiyo rafiki katika kitongoji cha Mesocho kijiji cha Borega “A” Kata ya Ganyange ambayo imeelezwa kuwa imesababisha kukauka maji yanayotumika kwenye Josho lililojengwa kwa ajili ya kuogesha mifugo.

‘’Wananchi wakate miti isiyo rafiki na maji, waliopanda waache kabla Serikali haijachukuwa jukumu la kufyeka na kujimilikisha miti hiyo ili iwe fundisho kwa Wananchi wanaokaidi agizo la Serikali.  Zoezi hili ni endelevu na tutahakikisha tunazunguka Wilaya nzima’’alisema Luoga.

Diwani wa Kata ya Ganyange  Nashon Marwa alisema kuwa Kazi kubwa ni kulinda Sheria kwakile alichoeleza kuwa Josho lilihudumia mifugo vijiji vitatu ambavyo ni Borega A,Nyakalima na Ntagacha lakini halina maji na hiyo mifugo kukosa huduma.

Josho lililokauka baada ya kukosa maji katika Kisima cha asili.

Afisa Mazingira Halmashauri ya wilaya ya Tarime Martha Mahule alisema kuwa kwa siku moja mti mmoja wa mkaratusi unakunywa maji lita 15-40 kutegemea na ukubwa wa mti hivyo watu wapande miti ya Cederela,Ndege chai,Chapa Bunduki,Mikuyu na aina nyingine ya miti ya kienyeji.

Mmoja wa Wananchi Kitongoji cha mesocho Matiko Marwa  alisema kuwa maisha ya Binadamu yanategemea maji hivyo ni vyema watu waiondoe kwani ikiendelea kuwepo itakausha maji na wananchi watapata adha kubwa ya maji kwakuwa wanategemea maji ya visima na mito.

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Mwisho,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa