• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

TANZANIA NA KENYA WAUNGANA KUHAKIKI MIPAKA YA KIMATAIFA

Tuma: March 27th, 2018

Tanzania na Kenya wameanza uhakiki wa mipaka ya Kimataifa iliyowekwa na Wakoloni ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Umoja wa nchi za Afrika(AU) iliyozitaka nchi hizo kupitia na kufanya maboresho ya mipaka ili kuepuka migogoro ya mipaka baina ya nchi na nchi.

Mjadala huo ulifanyika kwenye kikao kilichofanyika wilayani Tarime nchini Tanzania ukijumuisha wataalamu mbalimbali wa Ardhi Kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Tanzania, Wizara ya Ardhi nchini Kenya,Watafiti ,Wapimaji ramani kutoka Wilaya za Tanzania na Majimbo(Kaunt) ya Kenya yanayopakana na nchi hizo.

Mkurugenzi Msaidizi maswala ya Upimaji Vijijini kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi Huruma Lugala alisema lengo ni kuweka na kuimarisha alama ili ionekane kwa urahisi ambapo alama za mwanzo ziliwekwa na wakokoni na baadhi zimechakaa na kuharibika.

Lugala alisema kuwa urefu wa mpaka ni kilomita 760 nakwamba kilomita 238 zaitahakikiwa katika awamu ya kwanza ikihusisha mikoa miwili ya Mara na Arusha ambapo wameanzia Ziwa Victoria upande wa Shirati wilayani Rorya hadi Mkoani Arusha na wamegawanyika kwa makundi zoezi litakalochukuwa muda wa miezi mitatu.

“Mipaka iliwekwa na wakoloni wakati huo kulikuwa ni mapori sasa watu wanaongezeka, tunaimarisha mipaka na kuweka alama, lengo ni kuepusha migogoro kati ya nchi na nchi na ifikapo mwaka 2022 zoezi linatakiwa liwe limekamilika.” alisema.

Mtaalamu wa Upimaji Mipaka ya Kimataifa Raymond Bagenda alisema zoezi la uhakiki wa mipaka lina wiki moja tangu kuanza na linaendelea kwa kutoa elimu juu ya umuhimu wa zoezi hilo kwa viongozi wa ngazi zote katika maeneo husika.

George Natembea kutoka Akaunt ya Narock-Kenya alisema kuwa ni vema kila Taifa kujua mipaka yake hivyo mipaka ya Kimataifa inapaswa kulindwa na kutunzwa ili isiharibike na kwamba mipaka ya Tanzania na Kenya Inafahamika hivyo hakuna ugumu katika uhakiki wa mipaka hiyo.

            ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Mwisho,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa