• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Nyakonga

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA KWANZA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
NA
IDARA
KATA
KIJIJI
SHUGHULI
CHANZO CHA FEDHA
BAJETI 2023/2024
 FEDHA TOLEWA
FEDHA TUMIKA
FEDHA BAKI
HALI YA UTEKELEZAJI
1
AFYA
NYAKONGA
KEBWEYE
Kukamilisha ujenzi wa nyumba ya mganga zahanati ya Kebweye ifikapo Juni 2024
Mapato ya Ndani
10,000,000
0
0
0
Fedha za utekelezaji hazijapokelewa
2
AFYA
NYAKONGA
NYAKONGA
Ujenzi wa kichomea taka kituo cha afya Magoto ifikapo Juni 2024
Mapato ya Ndani
10,000,000
0
0
0
Fedha za utekelezaji hazijapokelewa
3
AFYA
NYAKONGA
MAGOTO
Ujenzi wa jengo la Kuhifadhia maiti kituo cha Afya Magoto ifikapo Juni 2024
Mapato ya Ndani
50,000,000
50,000,000
0
0
Fedha hizi zimeombewa mabadiliko na kwenda kujenga nyumba ya watumishi pacha
4
ELIMU (M)
NYAKONGA
NYAKONGA
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya msingi Nyakonga ifikapo Juni 2024
Mapato ya Ndani
50,000,000
0
0
0
Fedha za utekelezaji hazijapokelewa
5
ELIMU (S)
NYAKONGA
MAGOTO
 Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa kwa ajili ya kidato cha tano na sita shule ya sekondari Magoto ifikapo Juni 2024
Serikali Kuu
75,000,000
0
0
0
Maombi ya fedha yamewasilishwa HAZINA
6
AFYA
NYAKONGA
MAGOTO
 Ununuzi wa kitanda 1 cha kujifungulia Kituo cha afya Magoto
Mfuko wa Jimbo
731,000
0
0
0
Fedha za utekelezaji hazijapokelea
7
ELIMU (M)
NYAKONGA
MAGOTO
Ujenzi wa choo matundu 10 na kuweka miundombinu ya kuvunia maji na kunawia mikono kulingana na miongzo itakayotolewa shule ya msingi Magoto ifikapo Juni 2024
SRWSS
31,000,000
0
0
0
Fedha z utekelezaji hazijapokelewa
JUMLA
226,731,000
50,000,000
0
0












TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UWAJIBIKAJI KWA JAMII (CSR) 2020/2021 KWA MGAO WA ASILIMIA 30% YA FEDHA ZILIZOTOLEWA KATIKA KATA 21 ZENYE VIJIJI 77 ROBO YA KWANZA MWAKA  2023/2024
NA
IDARA
KATA
KITUO/KIJIJI
MRADI/SHUGHULI
CHANZO CHA FEDHA
 BAJETI TENGWA  
 FEDHA TOLEWA
 FEDHA TUMIKA
 FEDHA BAKI
 HALI YA UTEKELEZAJI
1
ELIMU MSINGI
NYAKONGA
KEBWEYE
Ujenzi wa madarasa 3 na ofisi 1 shule ya msingi Kebweye
CSR
      75,000,000
         74,247,500
         74,247,500
            752,500
Ujenzi umekamilika
2
ELIMU MSINGI
NYAKONGA
KEBWEYE
Ujenzi wa choo cha wanafunzi matundu 16 na miundombinu ya kunawia mikono shule ya msingi Kebweye
CSR
      18,000,000
         17,667,000
         17,667,000
            333,000
Ujenzi umekamilika
3
ELIMU SEKONDARI
NYAKONGA
MAGOTO
Ujenzi wa choo cha wanafunzi matundu 10 shule ya sekondari Magoto
CSR
      12,000,000
         11,939,850
         11,939,850
              60,150
Ujenzi umekamilika
JUMLA
    105,000,000
       103,854,350
       103,854,350
         1,145,650












TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BAKAAA YA MWAKA 2022/2023 KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA 2023/2024
NA
IDARA
KATA
KIJIJI
SHUGHULI
CHANZO CHA FEDHA
BAKAA 2022/2023
FEDHA TOLEWA
FEDHA TUMIKA
FEDHA BAKI
HALI YA UTEKELEZAJI
1
AFYA
NYAKONGA
MAGOTO
Kukarabati majengo ya kituo cha afya Magoto.
 Mapato ya Ndani
      40,000,000

                        -  
       40,000,000
Fedha hizi zimebadilishiwa matumizi na kwenda kujenga nyumba ya mtumishi
2
ELIMU MSINGI
 NYAKONGA
Kebweye
Kuchangia ujenzi wa chumba 1 cha darasa shule ya msingi  mpya Nyabinembu
Mfuko wa Jimbo - CDF
        6,200,000

                        -  
         6,200,000
 Ujenzi unaendelea
3
ELIMU MSINGI
NYAKONGA
MAGOTO
Ujenzi wa matundu 21 ya vyoo shule ya msingi Nyakonga .
SRWSSP
      38,232,848

         26,098,000
       12,134,848
 Kazi ya upigaji wa rangi inaendelea
JUMLA
      84,432,848
                        -  
         26,098,000
       58,334,848

JUMLA KUU
    416,163,848
       153,854,350
       129,952,350
       59,480,498

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa