• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Nyamwaga

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA KWANZA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
NA
IDARA
KATA
KIJIJI
SHUGHULI
CHANZO CHA FEDHA
BAJETI 2023/2024
 FEDHA TOLEWA
FEDHA TUMIKA
FEDHA BAKI
HALI YA UTEKELEZAJI
1
ELIMU (M)
NYAMWAGA
GWITARE
Kukamilisha Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na ofisi pamoja na samani shule ya msingi  Gwitare ifikapo Juni 2024
Mapato ya Ndani
32,500,000
32,500,000
0
0
Hatua ya manunuzi
2
ELIMU (S)
NYAMWAGA
KIMUSI
Kukamilisha ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa shule mpya ya sekondari Kimusi ifikapo Juni 2024
Mapato ya Ndani
37,500,000
0
0
0
Fedha za utekelezaji hazijapokelewa
3
ELIMU (M)
NYAMWAGA
NYAMWAGA
 Ujenzi wa bweni la watoto wenye mahitaji maalumu shule ya msingi Nyamwaga ifikapo Juni 2024
Serikali Kuu
128,000,000
0
0
0
Maombi ya fedha yamewasilishwa HAZINA
4
ELIMU (S)
NYAMWAGA
NYAMWAGA
 Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa ya kidato cha tano na sita shule ya sekondari J.K.Nyerere ifikapo Juni 2024
Serikali Kuu
100,000,000
0
0
0
Maombi ya fedha yamewasilishwa HAZINA
5
ELIMU (S)
NYAMWAGA
NYAMWAGA
 Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa kwa ajili ya kidato cha tano na sita shule ya sekondari Nyamwaga ifikapo Juni 2024
Serikali Kuu
50,000,000
0
0
0
Maombi ya fedha yamewasilishwa HAZINA
6
ELIMU (S)
NYAMWAGA
NYAMWAGA
Kujenga matundu 8 ya vyoo shule ya sekondari J.K.Nyerere ifikapo Juni 2024
Serikali Kuu
17,000,000
0
0
0
Maombi ya fedha yamewasilishwa HAZINA
7
ELIMU (M)
NYAMWAGA
KEISANGORA
 Kuchangia ujenzi wa chumba cha darasa shule ya msingi Nyamerama
Mfuko wa Jimbo
2,000,000
0
0
0
Fedha za utekelezaji hazijapokelea
8
ELIMU (S)
NYAMWAGA
NYAMWAGA
 Ununuzi wa TV na king’amuzi shule ya Sekondari J.K Nyerere
Mfuko wa Jimbo
1,400,000
0
0
0
Fedha za utekelezaji hazijapokelea
9
ELIMU (M)
NYAMWAGA
KEISANGORA
 Ujenzi wa vyumba  2 vya madarasa shule ya msingi Nyamerama ifikapo Juni 2024
EP4R
50,000,000
0
0
0
Fedha z utekelezaji hazijapokelewa
JUMLA
418,400,000
32,500,000
0
0












TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UWAJIBIKAJI KWA JAMII (CSR) 2020/2021 KWA MGAO WA ASILIMIA 70% YA FEDHA ZILIZOTOLEWA KATIKA KATA 5 ZENYE VIJIJI 11 VINAVYOZUNGUKA MGODI WA DHAHABU BARRICK NORTH MARA ROBO YA KWANZA 2023/2024
NA
SEKTA/ DIVISHENI
KATA
KITUO/KIJIJI
MRADI/SHUGHULI
CHANZO CHA FEDHA
 BAJETI TENGWA  
 FEDHA TOLEWA
 FEDHA TUMIKA
 FEDHA BAKI
 HALI YA UTEKELEZAJI
1
AFYA
NYAMWAGA
KOMARERA
Ujenzi wa nyumba moja ( 2 in 1) ya mganga zahanati ya Komarera
CSR
        70,000,000
       42,686,500
       42,686,500
        27,313,500
 Hatua za mwisho za ukamilishaji, skimming na upakaji wa rangi
2
ELIMU SEKONDARI
NYAMWAGA
NYAMWAGA
Ukamilishaji wa bweni la wanafunzi shule ya sekondari J.K. Nyerere
CSR
        60,000,000
       56,185,600
       56,185,600
          3,814,400
 Ujenzi wa bweni umekamilika
3
ELIMU MSINGI
NYAMWAGA
NYAMWAGA
Ujenzi wa vyumba vya madarasa 2 na vyoo vya wanafunzi matundu 6 shule ya msingi Makerero
CSR
        57,317,000
       38,752,000
       38,752,000
        18,565,000
 Ujenzi umekamilika
4
FEDHA
NYAMWAGA
 NYAMWAGA
Kuanza ujenzi wa soko la huduma za kijamii katika kijiji cha Nyamwaga
CSR
     197,538,141
                        -  
                        -  
     197,538,141
 Taratibu za manunuzi zimekamilika na fundi amepatikana, bado kukabidhiwa eneo la ujenzi
5
BARABARA
NYAMWAGA
KOMARERA
Uzibuaji wa barabara ya Nyamonge - Mto Mekoma I.8 Km na kalavati 5
CSR
     117,550,845
                        -  
                        -  
     117,550,845
 Kazi ya uzubuaji wa barabara inaendelea
6
BARABARA
NYAMWAGA
KOMARERA
Uzibuaji wa barabara ya Masambe - Weibe Machugu 1.5 Km na kalavati 2
CSR
        48,918,345
                        -  
                        -  
        48,918,345
 Kazi ya uzubuaji wa barabara inaendelea
7
BARABARA
NYAMWAGA
KOMARERA
Uzibuaji wa barabara ya kutoka Mto Rechacha - Mzee Mtela  1 Km na kalavati 2
CSR
        43,738,345
                        -  
                        -  
        43,738,345
 Kazi ya uzubuaji wa barabara inaendelea
8
BARABARA
NYAMWAGA
NYAMWAGA
Barabara kutoka Nyamwaga kupitia Mto Mori hadi Kimusi yenye  5.3 na kalavati 1
CSR
     142,190,500
                        -  
                        -  
     142,190,500
 Kazi ya uzubuaji wa barabara inaendelea
9
BARABARA
NYAMWAGA
NYAMWAGA
Barabara kutoka Nyamwaga sekondari hadi kwenye josho la mifugo km 1.5 na kalavati 3
CSR
        53,492,500
                        -  
                        -  
        53,492,500
 Kazi ya uzubuaji wa barabara inaendelea
JUMLA
     790,745,676
     137,624,100
     137,624,100
     653,121,576












TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BAKAAA YA MWAKA 2022/2023 KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA 2023/2024
NA
IDARA
KATA
KIJIJI
SHUGHULI
CHANZO CHA FEDHA
BAKAA 2022/2023
FEDHA TOLEWA
FEDHA TUMIKA
FEDHA BAKI
HALI YA UTEKELEZAJI
1
UTAWALA
NYAMWAGA
KIMUSI
Kukamilisha ujenzi wa ofisi ya kijiji cha Kimusi.
 Mapato ya Ndani
       8,000,000.00

                        -  
       8,000,000.00
Kazi ya ujenzi inaendelea
2
UTAWALA
NYAMWAGA
 NYAMWAGA
Ujenzi wa jengo la makao makuu ya Halmashauri Makao makuu Nyamwaga
Serikali Kuu
959,904,640.00

                        -  
   959,904,640.00
 Sakafu ya chini imekamilika kwa asilimia 90 na inatumika sakafu ya juu kazi ya skimingi na uwekaji wa vigae inaendelea. Ujenzi wa fensi uchimbaji wa msingi umekamilika na ujenzi unaendelea
3
UTAWALA
NYAMWAGA
 NYAMWAGA
Ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji Makao makuu Nyamwaga (fensi, nyumba ya mlizi, na nyumba ya msaidizi)
Serikali Kuu
   147,520,000.00

                        -  
   147,520,000.00
 Kazi ya plasta imekamilika na ujenzi unaendelea
4
UTAWALA
NYAMWAGA
 NYAMWAGA
Ujenzi wa Nyumba 3 za wakuu wa idara makao makuu ya Halmashauri Nyamwaga .
Serikali Kuu
110,696,250.00

                        -  
110,696,250.00
 Nyumba 1 imepauliwa kazi ya plasta inaendelea na nyumba 1 boma limekamilika na ujenzi unaendelea
5
ELIMU MSINGI
NYAMWAGA
KIMUSI
Ujenzi wa matundu 25 ya vyoo shule ya msingi Nyamiri .
SRWSSP
27,377,906.53

    16,500,000.00
     10,877,906.53
 Ujenzi wa mashimo ya maji taka unaendelea
JUMLA
     1,253,498,796.53
                                 -  
          16,500,000.00
     1,236,998,796.53

JUMLA KUU
     2,462,644,472.38
       170,124,100.00
       154,124,100.00
     1,890,120,372.38

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA UTENDAJI KAZI (ESS) MKOANI MARA

    June 11, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA, SHULE YA SEKONDARI MAGOTO

    June 02, 2025
  • MAADHIMISHO YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA WATOTO

    June 01, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa