• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Nyanungu

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA KWANZA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
NA IDARA KATA KIJIJI SHUGHULI CHANZO CHA FEDHA BAJETI 2023/2024  FEDHA TOLEWA  FEDHA TUMIKA FEDHA BAKI HALI YA UTEKELEZAJI
1 ELIMU (M) NYANUNGU MANGUCHA Ujenzi wa choo matundu 4 cha waalimu shule ya msingi Mangucha ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 7,000,000 0 0 0 Fedha za utekelezaji hazijapokelewa
2 ELIMU (S) NYANUNGU NYAMOMBARA Ujenzi wa matundu ya vyoo 11 ya wanafunzi shule ya sekondari Nyanungu ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 13,000,000 13,000,000 0 0 Utekelezaji haujaanza
3 UTAWALA NYANUNGU NYANUNGU Ujenzi wa ofisi ya kata ya Nyanungu ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 50,000,000 0 0 0 Fedha za utekelezaji hazijapokelewa
4 ELIMU (S) NYANUNGU NYAMOMBARA  Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa ya kidato cha tano na sita shule ya sekondari Nyanungu ifikapo Juni 2024  Serikali Kuu 75,000,000 0 0 0 Maombi ya fedha yamewasilishwa HAZINA
5 ELIMU (S) NYANUNGU NYAMOMBARA  Ujenzi wa matundu 12 ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita shule ya sekondari Nyanungu ifikapo Juni 2024  Serikali Kuu 25,500,000 0 0 0 Maombi ya fedha yamewasilishwa HAZINA
6 ELIMU (S) NYANUNGU NYAMOMBARA  Ununuzi wa photocopy machine shule ya sekondari Nyanungu  Mfuko wa Jimbo 4,000,000 0 0 0 Fedha za utekelezaji hazijapokelea
7 ELIMU (S) NYANUNGU MANGUCHA Ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya kata ya Nyanungu katika kijiji cha Mangucha ifikapo Juni 2024 SEQUIP 570,000,000 0 0 0 Fedha z utekelezaji hazijapokelewa
8 ELIMU (S) NYANUNGU NYAMOMBARA Ujenzi wa bwalo la chakula shule ya sekondari Nyanungu ifikapo Juni 2024 SEQUIP 140,000,000 0 0 0 Fedha z utekelezaji hazijapokelewa
9 ELIMU (S) NYANUNGU MANGUCHA Ujenzi wa nyumba 2 za watumishi shule mpya ya sekondari ya kata ya Nyanungu katika kijiji cha Mangucha ifikapo Juni 2024 SEQUIP 100,000,000 0 0 0 Fedha z utekelezaji hazijapokelewa
JUMLA 984,500,000 13,000,000 0 0











TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UWAJIBIKAJI KWA JAMII (CSR) 2020/2021 KWA MGAO WA ASILIMIA 30% YA FEDHA ZILIZOTOLEWA KATIKA KATA 21 ZENYE VIJIJI 77 ROBO YA KWANZA MWAKA  2023/2024
NA IDARA KATA KITUO/KIJIJI MRADI/SHUGHULI CHANZO CHA FEDHA  BAJETI TENGWA    FEDHA TOLEWA   FEDHA TUMIKA   FEDHA BAKI   HALI YA UTEKELEZAJI 
1 AFYA NYANUNGU NYANDAGE Ujenzi wa nyumba 1  ya mganga Zahanati ya Nyandage  CSR      30,000,000   26,989,000      26,989,000        3,011,000  Kazi ya plasta imekamilika 
2 ELIMU SEKONDARI NYANUNGU NYAMOMBARA Ukamilishaji wa Ujenzi wa choo matundu 6 shule ya sekondari Nyanungu CSR         6,000,000     5,423,000         5,423,000           577,000  Ujenzi umekamilka 
3 ELIMU MSINGI NYANUNGU NYAMOMBARA Ujenzi wa chumba 1 cha darasa shule ya Msingi Nyamombara CSR      25,000,000   22,351,500      22,351,500        2,648,500  Ujenzi umekamilika 
4 ELIMU MSINGI NYANUNGU KEGONGA Ukamilishaji  ujenzi wa chumba cha darasa shule ya Msingi Kegonga CSR      12,500,000   12,192,750      12,192,750           307,250  Ujenzi umekamilika 
JUMLA               73,500,000          66,956,250               66,956,250                6,543,750











TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BAKAAA YA MWAKA 2022/2023 KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA 2023/2024
NA IDARA KATA KIJIJI SHUGHULI CHANZO CHA FEDHA BAKAA 2022/2023 FEDHA TOLEWA FEDHA TUMIKA FEDHA BAKI HALI YA UTEKELEZAJI
1 ELIMU SEKONDARI NYANUNGU NYAMOMBARA Kisima kirefu, Pampu ya Umeme, Mnara wa kuweka tanki, Matanki ya lita 5,000 mawili, standby genereta, sehemu ya kuchotea maji yenye koki 2 na kusambaza maji kwenye mabweni mawili.  TANAPA          30,000,000
                       -          30,000,000 Hatua ya manunuzi kumpata mkandarasi kwa ajii ya kuchimba kisima
2 ELIMU MSINGI NYANUNGU  NYAMOBARA  Ujenzi wa shule mpya ya msingi kijiji cha Nyamombara eneo la Getena   Boost         245,864,400
      109,564,400      136,300,000 Ujenzi wa vyumba vya madarasa 14 na vyumba 2 vya madarasa ya Awali ya Mfano ipo hatua ya upigaji rangi
Ujenzi wa matundu 18 (Matundu 12 (10 ya wanafunzi na 2 ya walimu) ujenzi unaendelea
Jengo la utawala Ujenzi upo hatua ya upakaji rangi na uwekaji wa vigae na ujenzi unaendelea
3 ELIMU MSINGI NYANUNGU KEGONGA Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa shule ya msingi Kegonga . TEA         29,784,426
                       -          29,784,426 Hatua za mwisho za ukamilishaji
JUMLA            305,648,826                            -              109,564,400           196,084,426
JUMLA KUU         1,363,648,826          79,956,250            176,520,650           202,628,176

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa