Monday 25th, January 2021
@Ukumbi wa Halmashauri
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mhe. Moses Misiwa, anawakaribisha Wananchi wote kuhudhuria Mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2017/2018.
Mkutano huo utafanyika katika Ukumbi wa Halmashauri tarehe 28.02.2018 kuanzia saa nne asubuhi.
KWA PAMOJA TUSHIRIKIANE KUINUA MAENDELEO YA WANANCHI WA TARIME
Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa