• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Mali Asili
    • Kitengo
      • Teknolojia ya Habari na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MKUU WA MKOA WA MARA AWAPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME KWA KUTII AGIZO HARAKA LA KUHAMIA NYAMWAGA

Tuma: November 1st, 2019

MKUU WA MKOA WA MARA AWAPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME KWA KUTII AGIZO HARAKA LA MHE DK. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA KUHAMIA NYAMWANGA.

Kufuatia agizo la Rais wa awamu ya tano Dk.John Pombe Joseph Magufuri kuagiza halmashauri zote kuhama mjini na kwenda maeneo ya vijijini (katika maeneo yao ya utawala), alipokuwa katika ziara ya kikazi mkoani Rukwa katika wilaya ya sumbawanga mji mdogo wa Lahela ili kuhakikisha wanatoa huduma kwa wananchi wanyonge.

Naye mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya tarime Ndugu. Apoo Castro Tindwa kwa kushirikiana na madiwani wa halmashauli hiyo wameafikiana kuhama haraka kutoka katika halmashauri ya mji wa Tarime na kwenda katika eneo lililopangwa kwa ajili ya halmashauri hiyo ikiwa ni kati ya halmashauri 31 ambazo azipo katika maeneo ya kiutawala.

Hata hivyo halmashauri ya wilaya ya Tarime tayari imeshahamia katika kijiji cha Nyamwaga Kata ya Nyamwaga ndani ya majengo ya ofisi ya tarafa na kijiji kwa muda, wakisubiria kujengwa kwa ofisi zake katika eneo lililotengwa kwa ajili ya makao makuu ya Halmashauri ya wilaya Tarime Nyamwaga.

Katika ziara yake ya kutembelea na kukagua makao mapya ya Halmashauri ya wilaya ya Tarime Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima amewapongeza halmashauri ya wilaya ya Tarime kwa kutii agizo la Mhe DK. John Pombe Joseph Magufuri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuhamia Nyamwanga na kuhakikisha wanatoa huduma kwa wananchi wanyonge,

Wakati wa kikao chake na waheshimiwa madiwani na wakuu wa idara kilichofanyika katika Ukumbi wa shule ya Sekondari JK Nyerere iliyopo Nyamwaga, Mhe. Adam Malima aliwapatia nafasi waheshiwa madiwani kutoa maoni juu ya hatua ya baadhi ya kata za halmashauri ya wilaya ya Tarime kuhamia Halmashauri ya mji wa Tarime, Katika maoni yao waheshimiwa madiwani walimpongeza Mkuu wa Mkoa Mara kwa wazo la kuhamisha kata nane (8) za Sirari,Regicheri,Mwema,Susuni,Bumera,Komaswa,Manga na Kiore kwa lengo la kuwaondolea wananchi wanyonge adha ya umbali wa kufuata huduma makao makuu ya halmashauri ya wilaya ya Tarime yaliyopo Nyamwaga kufuatia jogorafia iliyopo.

Matangazo ya Kawaida

  • MAELEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME December 13, 2020
  • KUITWA KWENYE USAHILI UANDIKISHAJI NA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA July 30, 2019
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO August 02, 2019
  • TANGAZO KWA UMMA November 01, 2019
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • Mafunzo ya semina kwa waheshimiwa Madiwani kuwajengea uwezo wa kusimamia uwendeshaji wa halmashauri.

    January 19, 2021
  • MAAGIZO YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ALIYOYATOA WAKATI WA ZIARA YAKE WILAYANI TARIME YATEKELEZWA KWA KISHINDO.

    May 21, 2020
  • KATIBU MKUU TAMISEMI MHE. ENG JOSEPH NYAMHANGA AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME.

    April 23, 2020
  • MHESHIMIWA MKUU WA WILAYA TARIME AMALIZA MGOGORO WA VIBANDA SOKO LA SIRARI

    March 18, 2020
  • Angalia Vyote

Video

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI KITUO CHA AFYA MURIBA.
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • strategic plan
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • Muongozo wa Mtumiaji Mfumo wa kibali cha kusafiri

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Taarifa za mshahara
  • Mfumo wa TANePS
  • Sajili mali iliyopotea

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa