Mradi wa ujenzi wa wodi ya kina mama na watoto katika kituo cha afya Muriba ulianza na kukamilika katika mwaka wa fedha 2017/2018. Mradi uligharimu kiasi cha Tshs. 150,000,000/= iliyotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri.
Lengo la Mradi ni kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto.
Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa