• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Regicheri

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA KWANZA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
NA IDARA KATA KIJIJI SHUGHULI CHANZO CHA FEDHA BAJETI 2023/2024  FEDHA TOLEWA  FEDHA TUMIKA FEDHA BAKI HALI YA UTEKELEZAJI
1 ELIMU (M) REGICHERI NG'ERENG'ERE Kutengeneza/kununua madawati 331 shule ya msingi Ng’ereng’ere ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 23,500,000 23,500,000 0 0 Utekelezaji haujaanza
2 ELIMU (M) REGICHERI REMAGWE Kutengeneza/kununua madawati 55 shule ya msingi Rengumanche  ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 4,000,000 4,000,000 0 0 Utekelezaji haujaanza
3 ELIMU (M) REGICHERI REMAGWE Ujenzi wa matundu 8 ya vyoo vya wanafunzi na 2 ya waalimu shule ya msingi Nyabichune ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 10,000,000 10,000,000 0 0 Utekelezaji haujaanza
4 ELIMU (M) REGICHERI REMAGWE Ununuzi/kutengeneza viti, meza na kabati kwa ajili ya waalimu kwa shule za msingi kata ya Regicheri ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 4,500,000 4,500,000 0 0 Utekelezaji haujaanza
5 ELIMU (M) REGICHERI NYABICHUNE Ujenzi wa matundu 4 ya vyoo vya waalimu shule ya msingi Rengumanche ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 5,000,000 5,000,000 0 0 Utekelezaji haujaanza
6 ELIMU (M) REGICHERI NYABICHUNE Kukamilisha ujenzi wa chumba 1 cha darasa  shule ya msingi Rengumamnche ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 8,000,000 0 0 0 Fedha za utekelezaji hazijapokelewa
7 ELIMU (M) REGICHERI REMAGWE Ujenzi wa matundu 8 ya vyoo katika nyumba za waalimu shule ya msingi Remagwe ifikapo Juni 2024 Mapato ya Ndani 15,000,000 15,000,000 0 0 Utekelezaji haujaanza
8 ELIMU (S) REGICHERI NG'ERENG'ERE  Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa shule ya sekondari Nyansisine ifikapo Juni 2024  Serikali Kuu 75,000,000 0 0 0 Maombi ya fedha yamewasilishwa HAZINA
9 ELIMU (M) REGICHERI REMAGWA  Kuchangia ujenzi wa chumba cha darasa shule ya msingi Rengumanche  Mfuko wa Jimbo 2,000,000 0 0 0 Fedha za utekelezaji hazijapokelea
10 ELIMU (M) REGICHERI REMAGWE  Ujenzi wa matundu 6 ya vyoo shule ya msingi Rengumanche ifikapo Juni 2024  BOOST 12,600,000 0 0 0 Fedha z utekelezaji hazijapokelewa
11 ELIMU (M) REGICHERI REMAGWE  Ujenzi wa vyumba  2 vya madarasa shule ya msingi Rengumanche ifikapo Juni 2024  BOOST 50,000,000 0 0 0 Fedha z utekelezaji hazijapokelewa
12 ELIMU (S) REGICHERI NG'ERENG'ERE Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa shule ya sekondari Nyansisine ifikapo Juni 2024 SEQUIP 40,000,000 0 0 0 Fedha z utekelezaji hazijapokelewa
13 ELIMU (S) REGICHERI NG'ERENG'ERE Ujenzi wa maabara 3 za sayansi shule ya sekondari Nyansisine ifikapo Juni 2024 SEQUIP 240,000,000 0 0 0 Fedha z utekelezaji hazijapokelewa
JUMLA 489,600,000 62,000,000 0 0











TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UWAJIBIKAJI KWA JAMII (CSR) 2020/2021 KWA MGAO WA ASILIMIA 30% YA FEDHA ZILIZOTOLEWA KATIKA KATA 21 ZENYE VIJIJI 77 ROBO YA KWANZA MWAKA  2023/2024
NA IDARA KATA KITUO/KIJIJI MRADI/SHUGHULI CHANZO CHA FEDHA  BAJETI TENGWA    FEDHA TOLEWA   FEDHA TUMIKA   FEDHA BAKI   HALI YA UTEKELEZAJI 
1 ELIMU SEKONDARI REGICHERI REMAGWE Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa  na ofisi 1 shule ya sekondari Regicheri CSR      50,000,000   22,456,905      22,456,905      27,543,096  Kazi ya upigaji wa plasta imekamilika 
2 ELIMU MSINGI REGICHERI Remagwe Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya msingi Rengumanche CSR      25,000,000   11,486,000      11,486,000      13,514,000  Kazi ya upigaji wa rangi imekamilika bado kazi ya uwekaji wa vigae 
JUMLA              75,000,000          33,942,905              33,942,905              41,057,096











TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BAKAAA YA MWAKA 2022/2023 KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA 2023/2024
NA IDARA KATA KIJIJI SHUGHULI CHANZO CHA FEDHA BAKAA 2022/2023 FEDHA TOLEWA FEDHA TUMIKA FEDHA BAKI HALI YA UTEKELEZAJI
1 ELIMU MSINGI REGICHERI Ng'ereng'ere  Kukamilisha ujenzi wa chumba 1 shule ya msingi Ng'ereng'ere . Serikali Kuu 11,250,000.00
                      -      11,250,000.00  Kazi ya kupaua imekamili, kazi ya upigaji wa plasta inaendelea 
2 ELIMU MSINGI  REGICHERI  Nyabichune/ Regicheri Kuchangia ujenzi wa shule mpya ya msingi Nyabichune Mfuko wa Jimbo - CDF  10,000,000.00
                      -      10,000,000.00  Ujenzi unaendelea hatua ya upigaji wa plasta 
3 ELIMU MSINGI REGICHERI  Ng'ereng'ere   Ujenzi w vyumba 2 vya madarasa na maundu 3 ya vyoo shule ya msingi Ng'ereng'ere   Boost   56,300,000.00
   50,100,000.00 6,200,000.00  Ujenzi Umekamilika 
JUMLA 77,550,000.00 0.00 50,100,000.00 27,450,000.00
JUMLA KUU      642,150,000.00    95,942,904.50        84,042,904.50        68,507,095.50

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa