• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

BARAZA LA WAFANYAKAZI LAPITISHA BAJETI YA 2018/2019

Tuma: March 12th, 2018


Mkurugenzi wa Halmshauri ya wilaya ya Tarime Bw. Apoo Tindwa amesema kuwa katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi (Mei mosi) Halmashauri itatoa motisha ya zawadi na Vyeti kwa Wafanyakazi hodari wa ngazi za chini.

Tindwa aliyasema hayo wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wilaya ya Tarime kilichofanyika ukumbi wa Halmashauri hiyo wakati wa kupitisha Bajeti ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kiasi cha Bilioni 43,270,776,621.25 ikiwa ni ongezeko la silimia 18.8 ikilinganishwa na Bilioni 36,431,083,427 zilizokasimiwa kwa mwaka wa fedha 2017/2018.

Tindwa alisema kuwa kumekuwepo kwa upendeleo katika uteuzi wa wafanyakazi bora ambapo watu wenye sifa uachwa wakiwemo watumishi wa ngazi za chini nakwamba kwa mwaka huu Wakuu wa Idara, Walimu wakuu na walimu wasaidizi hawatapewa kipaumbele katika kupewa zawadi.

“Nalisema hili mapema ili mlifahamu mwaka huu nitakuwa makini kuhakikisha watumishi wa chini ndiyo wanapewa kipaumbele kupata zawadi, ni bora apate zawadi mtu mmoja kuliko kuwapa wengi wasio na sifa” alisema Tindwa.

Mwalimu wa Taaluma shule ya Sekondari Manga ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi aliomba kwa upande wa walimu Matokeo ya mitihani ndiyo yatumike katika kumpata mwalimu bora kwa kile alichoeleza kuwa njia hiyo itatumika kuepusha manung’uniko lakini pia itaongeza juhudi katika ufundishaji.

“Kuna upendeleo katika kuwapata wafanyakazi bora Mkurugenzi tunaomba matokeo ya mtihani yawe ndiyo dira ya kumpata mfanyakazi bora, wapo walimu wanafanya kazi ukiangalia hata kwenye mitihani wanafunzi wamefanya vizuri Kiwilaya,Mkoa na Kitaifa lakini hawajawahi kupewa zawadi” alisema Surumbu.

Katibu wa Chama cha Walimu mkoa wa Mara Lazaro Saulo alisema kuwa inavunja moyo pale wanapochaguliwa wasiostahili hivyo umakini utumike katika kuwapata wafanyakazi bora kwa kuzingatia mazingira halisi yenye changamoto ya mfanyakazi anakofanyia kazi nakwamba kwa mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika Kimkoa wilayani Tarime.

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Mwisho,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa