• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) IMEPONGEZA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MURIBA PAMOJA NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA.

Tuma: March 15th, 2019

Kamati ya Bunge ya hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imepongeza ujenzi wa kituo cha Afya Muriba pamoja na huduma zinazotolewa pale ambapo imeitaka Halmashauri ya wilaya ya Tarime kuendelea kutumia Vyema Mapato yake ya Ndani huku ikitekeleza vyema Miradi ya Maji, Afya , Elimu na Barabara ili kutatu changamoto za Wananchi.

Kauli hiyo imetolewa na Mhe: Abdallah Chikota ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo kipindi walipotembelea kituo cha Afya Muriba kwa ajili ya kukagua Miradi hiyo.

“Sisi kama Kamati tumejilidhisha pia tunafurahishwa na huduma zinazotolewa hapa na changamoto ambazo zinakumba hiki kituo cha Afya tutaenda kuangalia kwenye vitabu kama zimewekwa ili kuzisemea kwa lengo la kuzitatu” alisema Chikota.

Kwa Upande Wake Naibu waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe: Mwita Waitara naye alipongeza Wahudumu Wote katika Kituo cha Afya Muriba kwa huduma nzuri na kusema kuwa baadhi ya wagonjwa wamekuwa wakitoka nje ya wilaya ya Tarime kwa lengo la kwenda kupata matibabu pale baada ya kuboresha Mazingira.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mhe: Moses M. Misiwa aliomba kamati hiyo kukumbusha Serikali kuleta Fedha za Ruzuku ili kusaidia kusukuma Maendeleo katika Halmashauri.

“Halmashauri hii ya wilaya  ya Tarime inatekeleza miradi yake kwa kutumia Mapato yake ya ndani tangu 2016 serikali kuu haijawahi kutuletea Ruzuku sasa kama kamati tunaomba ili suala mulifikishe serikalini” alisema Misiwa.

Aidha Wananchi wamebainisha Changamoto mbalimbali mbele ya kamati hiyo huku suala la upatikanaji wa maji safi na salama katika kituo hicho likiibuka,

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA, SHULE YA SEKONDARI MAGOTO

    June 02, 2025
  • MAADHIMISHO YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA WATOTO

    June 01, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa