• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Maadhimisho ya siku ya upandaji miti Wilayani Tarime

Tuma: April 4th, 2017

HALMASHAURI YA WILAYA TARIME YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI

Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoani Mara imeadhimisha siku ya upandaji miti yenye kauli mbiu ‘‘Panda miti, tunza Misitu upate nishati’’ kwa kutoa Miti 1000 kwa jeshi la kujenga taifa JKT na kushirikiana kwa pamoja kuipanda katika maeneo ya wazi kwa lengo la kuboresha mazingira na kulinda mipaka ya jeshi.

Akikabidhi miti hiyo kwa Kaimu Kamanda wa kikosi cha Rwamkoma 822KJ Capt. Peter Kulyakwave, Katibu Tawala wa Wilaya ya Tarime Bw. John Marwa aliyekuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alisema Wilaya ya Tarime ilikuwa na mvua za kutosha kwa kuwa ilitawaliwa na miti mingi.

Katibu Tawala aliongeza kusema kadri siku zinavyozidi kwenda Wilaya ya Tarime inazidi kupoteza ukijani kutokana na Wananchi kukata Miti ovyo, hivyo aliwasii Wananchi kwa ujumla kupanda miti na kuhifadhi mazingira.

Afisa Misitu Bi. Eva Jacob kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Tarime alisema kuwa Kitengo cha misitu kimekuwa na mikakati ya kuhamasisha Wananchi kuondoa Miti isiyo rafiki kwa Mazingira Mfano, Mikaratusi na badala yake ipandwe miti rafiki.

Ni vyema maeneo ya wazi yaliyopo Vijijini yakatengwa kwa ajili ya misitu ili kuongeza idadi ya Misitu katika Wilaya ya Tarime, alisema Afisa Misitu.

Mwaka 2010/2011 Halmashauri ilipanda miti 1,469,637 Mwaka 2011/2012 Miti 1,410,433 Mwaka 2012/2013 Miti 1,223,844 Mwaka 2013/2014 Miti 827,139 Mwaka 2014/2015 Miti 957,824 Mwaka 2015/2016 Miti 1,040,427 na Mwaka 2016/2017 Miti 758,210.

Kwa upande wake Kaimu Kamanda wa kikosi cha Rwamkoma aliipongeza Halmashauri hiyo kwa kuwapatia Miti ambapo aliahidi kuwa JKT wataitunza na kuilinda na kwamba wataipanda maeneo ya wazi lakini pia watazalisha vitalu vya miti.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa