• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Mail za Ofisi |
    • Malalamiko |
TARIME DISTRICT COUNCIL
TARIME DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi na Awali
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Maendeleo ya Jamii,
      • Mipango na Uratibu
    • Kitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Shughuli za Kilimo
    • Shughuli za Ufugaji
    • Shughuli za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha, Mipango & Utawala
      • Elimu, Afya & Maji
      • Mazingira, Ujenzi & Uchumi
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Taratibu Mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za Shughuli Mbalimbali
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

WAKULIMA WA KAHAWA WATAKIWA KUPANDA MBEGU YA CHOTARA FUPI

Tuma: April 20th, 2018

Mkuu wa mkoa wa Mara Adam Malima amewataka wakulima wa zao la Kahawa kupanda mbegu ya Chotara fupi kwakuwa ndiyo mbegu inayozaa na kustawi zaidi ikilinganishwa na mbegu zingine zilizozoeleka kulimwa na wakulima wa Tarime.

Malima ambaye pia ni Mwenyekiti wa wanasayansi wa kilimo Nchini aliyasema hayo wakati akizungumza na wajumbe wa vyama vya wakulima wa zao la kahawa mjini Tarime, lengo la kikao ikiwa ni kufahamu changamoto za wakulima na namna ya kukuza zao hilo ili liwe na tija kwa wakulima na mkoa kwa ujumla.

Aliongeza kuwa kuwa iwapo wakulima watang’oa mbegu za zamani na kupanda upya mbegu za chotara zao hilo litaongeza thamani kutoka tani 2,000 zinazovunwa hadi tani 9,000 kwa mwaka kwakuwa mbegu ya chotara uzaa sana.

Kwa ushirikiano wa Vyama vya msingi ni matarajio yake mkoa wa Mara utaongoza kwa kuwa na uzalishaji mkubwa wa kilimo cha Kahawa chenye tija na manufaa kwa wakulima huku mbegu ya Chotara fupi ikipewa kipaumbe zaidi.

Diwani wa kata ya Muriba Michael Joseph ambaye pia ni mwanachama wa chama cha msingi cha Kahawa Bungurere alisema kuwa aliingia kwenye chama hicho tangu 1991 nakwamba mashamba yamechoka kutokana na kulimwa kwa miaka mingi hivyo kuna haja ya Serikali kuwapatia pembe jeo za kilimo.

Meneja wa Chama cha wakulima mkoani Mara (WAMACU)Jeremiah Mugendi alisema kuwa kuna vyama 17 vya ushirika kati ya hivyo 12 ni vya kahawa, Pamba 3 na Tumbaku 2 kukiwa na jumla ya wanachama 50.

Mugendi alisema kuwa msimu wa 2017/2018 WAMACU walikusanya tani 228.893 kutoka kwa wanachama wake,Kahawa ghafi Tani 228.893 zilizokobolewa na kupatikana kahawa safi kg 103,629 iliyouzwa kwa sh. 421,218,400 milioni ambayo ni sawa na 4,064.67 kwa kilo moja ya kahawa safi.

Alizitaja changamoto za uendeshaji wa shughuli kuwa ni pamoja na kukawizwa kukobolewa kwa kahawa, Uhaba wa upatkanaji wa magunia na ukosefu wa soko la uhakika.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU March 20, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (DAFTARI LA WAPIGA KURA). April 19, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA February 25, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZIYA MKATABA KWA MADEREVA. May 30, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI

    February 20, 2025
  • TANZIA

    March 15, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME

    February 26, 2025
  • MHE. EVANCE MTAMBI AFANYA MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA MWEMA NA RWGICHERI JUU YA CHANGAMOTO YA ARDHI

    February 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Maadhimisho ya Nanenane, 2024
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • eMrejesho
  • Dirisha la Watumishi
  • Taarifa za Mishahara
  • NeST-Mfumo wa kielektroni wa manunuzi Tanzania
  • Mfumo wa Usajili Mali iliyopotea
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa wafanyabiashara wadogowadogo
  • Mfumo wa Kibali cha kusafiri nje ya nchi
  • STAFF ASSESSMENT

Viungio Vinavyoshabiana

  • Government portal
  • TAMISEMI
  • HALMASHAURI WILAYA TARIME.BLOG
  • Magazeti mbalimbali
  • Jarida la Tarimedc
  • MWALIMU WETU MITIHANI MBALIMBALI

Idadi ya waliotembelea tovuti kidunia

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 GWF zimehifadhiwa